pmbet

Aliyewindwa na Barca atimkia Bayern Munich.

Joyce Shedrack

May 29, 2025
Share :

Klabu ya Bayern Munich imemtambulisha beki wa kati wa Timu ya Taifa ya Ujerumani Jonathan Tah akitokea klabu ya Bayer 04 Leverkusen kwa mkataba wa miaka 4 hadi mwaka 2029.

Gallery: The first pictures of Jonathan Tah at FC Bayern

Tah mwenye umri wa miaka 29 anajiunga na Mabingwa hao wa Bundesliga msimu huu kama mchezaji huru baada ya kumaliza mkataba wake na klabu ya Bayer 04.

 

Nyota huyo ambaye alionesha kiwango bora chini ya aliyekuwa kocha wa klabu yake Xabi Alonso amechagua kuwa mwanafamilia wa Bavarian licha ya kuhusishwa kujiunga na Barcelona.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet