pmbet

Ally Kiba kutumbuiza kwenye tamasha la Simba Day.

Joyce Shedrack

August 1, 2026
Share :

Mfalme wa bongofleva Ally Kiba ametangazwa kuwa msanii mkuu kwenye Tamasha la Simba Day 2026 Tamasha ambalo linaenda kufanyika Agosti 8,2026 katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam
Kwa mara ya kwanza Alikiba afanya shoo na mashabiki wa Simba Sc - Jambo FM  Radio Tanzania
Ally Kiba anaenda kuwa msanii ambaye atatumbuiza kwenye Tamasha la Simba Day mara mbili mfululizo kama Msanii Mkuu.
 

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet