pmbet

Alonso aifanya Bayern vibonde wake Ujerumani

Sisti Herman

December 4, 2024
Share :

Baada ya jana Bayer Leverkusen kuichapa 1-0 Bayern Munich kwenye mchezo wa raundi ya tatu ya kombe la Ligi Ujerumani sasa ni kama Kocha wa Leverkusen amewafanya wababe hao wa Ujerumani vibonde wake.

 

Tangu ajiunge na Leverkusen mpaka sasa Xabi Alonso amekutana mara 5 na Bayern Munich ambayo ni timu aliyokuwa akiichezea zamani huku akishinda mara 3 na sare 2 huku akiwa hajafungwa mchezo.

 

Baada ya mchezo huo wa jana, Leverkusen imefuzu raundi ya 4 huku Bayern ikiondolewa mashindanoni.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet