pmbet

Alonso bado moja tu abebe Bundesliga

Sisti Herman

April 7, 2024
Share :

Mara baada ya jana kushinda kwa mbinde dhidi ya Union Berlin kwenye mchezo wa ligi kuu Ujerumani (Bundesliga) klabu ya Bayer Leverkusen ambayo ipo chini ya kocha kijana Xabi Alonso SASA imebakisha alama tatu ambazo ni sawa na ushindi wa mechi moja tu kutwaa ubingwa wa Bundesliga ikiwa na michezo mitano mkononi.

Hadi sasa ligi hiyo imefikisha michezo 28, Leverkusen wakiwa na alama 76, alama 16 zaidi ya Bayern Munich ambao wapo nafasi ya pili kwenye msimamo wa ligi hiyo, hivyo kama Leverkusen watashinda mchezo ujao watawawazwa kuwa mabingwa wa Bundesliga.

Kwenye ushindi wa 1-0 dhidi ya Union Berlin, bao la Leverkusen lilifungwa na Kiungo mshambuliaji Florian Wirtz.

 

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet