Amorim na AC Milan ni suala la muda tu
Sisti Herman
June 14, 2026
Share :

Aliyekuwa kocha wa Mnachester United Ruben Amorim yuko kwenye hatua za mwisho ya mazungumzo na klabu ya AC Milan, kwa ripoti ya mwandishi wa habari wa Italia Matte Moretto.
Meneja huyo raia wa Ureno kwa sasa ndiye mgombea anayeongoza kwa kazi hiyo. Rossoneri tayari wamefanya mkutano wa ana kwa ana na Amorim.
Mgombea mwingine anayezingatiwa ni Matthias Jaissle, ambaye kwa sasa anasimamia Al Ahli.





