pmbet

Anapigwa Chui anateseka Chura Simba aweka alama 3 kapuni.

Joyce Shedrack

May 28, 2025
Share :

Klabu ya @simbasctanzania imefanikiwa kuvuna alama zote tatu katika mchezo wa ligi kuu soka Tanzania bara wakiwa nyumbani dhidi ya @singidablackstarssc .

Goli pekee la Steven Desse Mukwala limetosha kumfanya Mnyama kutoka kifua mbele baada ya dakika 90 za mchezo huo uliopigwa KMC Complex.

Simba imefikisha alama 72 wakiwa nafasi ya pili kwenye msimamo wa ligi kuu soka Tanzania bara nyuma ya vinara Yanga wenye alama 73 huku wote wakiwa wamecheza mechi 27.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet