pmbet

Ancelotti afunguka baada ya kumpa penati Rudigar mbele ya Endrick

Sisti Herman

March 13, 2025
Share :

 

Kocha wa Real Madrid Carlo Ancelotti amesema kuwa walipanga kumpa penati ya mwsiho ya ushindi kinda Endrick kwenye mchezo wao wa Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya Atletico Madrii iliyowafanya waweze kufuzu hatua ya robo fainali ya michuano hiyo.

“wakati wa kuamua nani nimpe nafasi ya kupiga penati ya mwisho tulikuwa na wasiwasi, nani akapige kati ya Rüdiger au Endrick, na wazo letu sote lilikuwa tumpatie Endrick akapige, lakini nilipoangalia sura yake nikaona hajiamini, nikaamua Rudiger maana sura yake ilionekana kiujasiri" alisema hivo Ancelotti.

Ancelotti ameyasema hayo baada ya mchezo wa Ligi hiyo uliocheza kwenye dimba la Riyadh Wanda Metro politana jana huku Madrid wakifuzu kwa penati 4-2 baada ya sare ya 1-1 kwenye matokeo ya jumla.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet