pmbet

Ancelotti amvuta tena mwanae Brazil

Sisti Herman

March 13, 2026
Share :

 

Davide Ancelotti, mtoto wa Carlo Ancelotti amerejea katika upande wa baba yake kama Kocha Msaidizi wa timu ya taifa ya Brazil baada ya kuacha kazi kama Kocha Mkuu wa Botafogo. 

Ameajiriwa tena na CBF na anatarajiwa kuwepo kwa mechi za kirafiki mwezi huu dhidi ya Ufaransa na Croatia.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet