pmbet

Ancelotti bado yupo sana Madrid hadi 2026

Sisti Herman

December 29, 2023
Share :

Klabu ya Real Madrid imetangaza kumuongezea mkataba wa kuitumikia timu hiyo kocha wao mkuu Carlo Ancelotto raia wa Italia kwa miaka mitatu zaidi hadi mwaka 2026.

 

Hatima ya Ancelotti baada ya mwishoni mwa msimu huu iligubikwa na sintofahamu hapo awali baada ya mapema mwaka huu Rais wa shirikisho la soka nchini Brazil Ednaldo kutangaza kuwa kocha huyo aliyeshinda taji la ligi kwenye ligi 5 zote bora za Ulaya kujiunga nao mwezi juni mwakani baada ya mkataba wake na Madrid kuisha.

 

Pia Ancelotti ni kocha pekee alaiyetwaa taji la ligi ya mabingwa Ulaya mara nyingi, akiwa ametwaa mara 4.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet