pmbet

Ancelotti yupo na Brazil hadi 2030

Sisti Herman

May 15, 2026
Share :

 

Carlo Ancelotti amesaini mkataba wa kuendelea kuwa na timu ya taifa ya Brazil hadi Julai 2030.

 

Kocha huyo ataiongoza Brazil kwenye makala mbili za kombe la dunia mfululizo.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet