pmbet

Anorld Schwarzenegger alikataa mshahara wa Milioni 488 akisema ni mdogo

Eric Buyanza

May 4, 2026
Share :

#JeWajua Arnold Schwarzenegger alikataa kupokea mshahara wake wakati wote alipokuwa Gavana wa Jimbo la California kuanzia mwaka 2003–2011. 

Schwarzenegger alieleza kuwa hakuhitaji mshahara huo kwa sababu alikuwa na utajiri mkubwa kutokana na kazi yake ya uigizaji. 

Aliutaja mshahara wa gavana, uliokuwa kati ya $187,000 na $206,500 kwa mwaka, kama (fedha ndogo) ikilinganishwa na mapato yake kwenye filamu. 

Badala yake aliuzawadia mshahara huo kwa mashirika mbalimbali ya misaada.
 

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet