Antony atolewa kwa mkopo Hispania
Sisti Herman
January 20, 2025
Share :
Klabu ya Manchester United imefikia makubaliano ya kumtoa kwa mkopo kiungo mshambuliaji Antony kwenda klabu ya Real Betis ya ligi kuu Hispania.
Antony amekubali kwenda Hispania kwaajili ya kupata nafasi ya kucheza zaidi na na kuboresha kiwango chake.