pmbet

ANTONY; Binadamu mwenye nywele ndefu zaidi zinazotoka masikioni

Eric Buyanza

June 15, 2024
Share :

Mwalimu mkuu mstaafu Anthony Victor wa nchini India, ndiye anayeshikilia rekodi ya dunia ya kuwa binadamu mwenye nywele ndefu zaidi za masikioni (zinazochipuka kutoka ndani ya masikio).

Nywele hizo zina urefu wa sentimeta 18.1.

Rekodi hii iliwekwa mwaka 2007 na haijavunjwa hadi leo hii.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet