pmbet

Anuary Jabir kinara wa mabao ligi kuu.

Joyce Shedrack

September 14, 2026
Share :

Mshambuliaji wa Polisi Tanzania Anuary Jabir anaongoza orodha ya wafungaji bora wa mabaoa katika ligi kuu ya Tanzania bara baada ya kufunga mabao 5 katika michezo 6 aliyocheza msimu huu mpaka sasa.
1. Anuary Jabir 0️⃣5️⃣
2. Obey Chirwa 0️⃣4️⃣
3. Abdul Sopu 0️⃣4️⃣
4. Oscar Mwajaga 0️⃣3️⃣
5. Jonathan Sowah 0️⃣3️⃣
6. Clatous Chama 0️⃣3️⃣
7. Peter Shalulile 0️⃣3️⃣
8. Maxi Nzengeli 0️⃣3️⃣
9. Maabad Maabad 0️⃣3️⃣



 

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet