Arajiga ateuliwa na CAF kuchezesha nusu fainali ya Senegal na Ghana leo
Sisti Herman
March 19, 2024
Share :
Mwamuzi wa Tanzania, Ahmed Arajiga, ameteuliwa na shirikisho la soka Afrika (CAF) kuwa mwamuzi wa mchezo wa nusu fainali mashindano ya All African Games kati ya Senegal U20 dhidi ya Ghana U20 utakaochezwa leo usiku.