Arajiga,Kayoko na Watanzania wengine kuchezesha ligi ya mabingwa.
Joyce Shedrack
September 6, 2025
Share :
Waamuzi wa Tanzania Ahmed Arajiga, Mohamed Mkono, Kassim Mpanga na Ramadhan Kayoko wameteuliwa na CAF kuchezesha mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL) ASCK (Togo) vs RS Berkane (Morocco) utakaochezwa katika uwanja wa Kégué dé Lomé 21, Septemba 2025.