pmbet

Arejesha Milioni 561 zilizotumwa kimakosa kwenye akaunti yake ya benki.

Joyce Shedrack

January 3, 2026
Share :

Mwanamke mmoja kutoka nchini Nigeria amerejesha kiasi cha Shillingi Million 561 ambacho kiliwekwa kimakosa kwenye akaunti yake ya benki.

Mwanamke huyo aliyejitambulisha kwa jina la Hajiya A hakusita kuwasiliana na benki yake mara tu alipogundua kiasi hicho kikubwa cha fedha kwenye akaunti yake.

 

Alisema "Ninajihisi vizuri kurejesha fedha hizo, Mimi ni mama, na mustakabali wa watoto wangu una thamani kubwa zaidi kwangu kuliko chochote, akaongeza.

 

 "Hata pamoja na changamoto zote za kifedha nilizonazo, sitaki kula mali isiyonihusu".

Ungekuwa Wewe Ungeirudisha?.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet