pmbet

Argentina na Colombia nani kuwa bingwa Copa-America

Sisti Herman

July 14, 2024
Share :

Michuano ya kombe la Mataifa Amerika (Copa America 2024) inafikia tamati alfajiri ya kuamkia kesho Julai 15, 2024, majira ya saa 9:00 usiku kwa mchezo wa fainali kati ya Mabingwa watetezi, Argentina dhidi ya Colombia katika uwanja wa “Hard Rock Stadium” Miami nchini Marekani.

Katika mchezo wa kutafuta mshindi wa tatu uliopigwa alfajiri ya leo, timu ya taifa ya Uruguay imeshinda kwa penalti 4-3 dhidi ya Canada baada ya sare ya 2-2 kwenye muda wa kawaida.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet