Ariana Grand kuja kivingine 2024
Sisti Herman
January 8, 2024
Share :
Baada ya kukaa kimya kwa takribani miaka mitatu bila kuachia wimbo, mwanamuziki kutoka nchini Marekani Ariana Grande ametangaza kuja na ngoma mpya iitwayo ‘Yes Or?’ January 12,2024
Mwanamuziki huyo mwenye umri wa miaka 30 amewahi kutoa nyimbo kama ‘7Rings’, ‘Position’, ‘Bang bang’, ‘Slide to slide’, ‘Focus’, ‘One last time’, na nyengine nyingi.