pmbet

Arsenal inaungana na Chelsea na Newcastle kumfukuzia Chiesa

Eric Buyanza

June 8, 2024
Share :

Imeripotiwa na vyombo vya habari vya nchini Italia kuwa Arsenal ni miongoni mwa timu zinazowania saini ya mshambuliaji wa Juventus, Federico Chiesa. The Gunners ni miongoni mwa timu tatu za Uingereza zinazomtaka mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 26, wakati huu ambapo klabu yake ya Juventus imekuwa ikisitasita kumuongezea mkataba, huku akiwa amebakiza mwaka mmoja tu klabuni hapo. 

Chelsea na Newcastle ni miongoni mwa klabu zinazotamani huduma ya Chiesa.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet