Arsenal na Chelsea mmoja kufuzu fainali ya Carabao Cup leo.
Joyce Shedrack
February 3, 2026
Share :
Mchezo wa nusu fainali ya Carabao Cup kati ya Chelsea na Arsenal unatarajia kupigwa leo kwenye uwanja wa Emirates Stadium saa 5 usiku.

Huu ni mchezo wa mzunguko wa pili baada ya Arsenal kushinda mechi ya kwanza ya nusu fainali huko Stamford Bridge kwa aggregate ya goli 3–2 dhidi ya Chelsea.
Chelsea leo wanakazi mbele ya Arsenal katika uwanja wa Emirates huku mshindi wa mchezo huu akitarajia kukutana na mmoja kati ya mshindi atakayepatikana katika nusu fainali ya Manchester City na Newcastle ili kucheza fainali ya kombe hilo.





