pmbet

Arsenal ndio wanaoweza kuizuia Man City Ligi ya mabingwa - Carragher

Eric Buyanza

February 16, 2024
Share :

Kwenye mahojiano aliyoyafanya karibuni mchezaji mkongwe wa klabu ya Liverpool, Jamie Carragher anasema anaamini ni Arsenal pekee ndio watakaoweza kuisimamisha Manchester City kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya.
 

"Ninaangalia kwenye Ligi ya Mabingwa na kujiuliza nani anaweza kuizuia Manchester City? nafikiri ni Arsenal tu" alisema.

Jamie Carragher anaamini Arsenal wana nafasi ya kupambana na kushinda Ligi ya Mabingwa msimu huu na kudai kuwa wao ni bora kuliko Bayern Munich na Paris Saint-Germain.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet