pmbet

Arsenal ndiyo timu pekee ambayo haijapoteza mechi UEFA hadi sasa

Sisti Herman

May 6, 2026
Share :

 

Hadi jana baada ya kuwaondoa Atletico Madrid kwenye nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya (UCL), Arsenal ndio timu pekee ambayo haijapoteza iliyosalia kwenye Ligi ya Mabingwa ya UEFA 2025/26, ikiwa imedumisha rekodi nzuri hadi kufika nusu-fainali.

Walitinga fainali kufuatia ushindi wa jumla wa 2-1 dhidi ya Atletico Madrid, na hivyo kuzidisha hadhi yao ya kuwa timu pekee ambayo haijapoteza katika michuano ya Ligi Mabingwa Ulaya msimu huu.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet