Arsenal wako tayari kuchukua Pauni Milioni 30 wamuuze Emile Smith
Eric Buyanza
June 15, 2024
Share :
Arsenal itakubali dau la pauni milioni 30 kumuuza Emile Smith Rowe kwenye dirisha kubwa baada ya kukaa nje ya uwanja kwa msimu mzima, ambapo inaelezwa klabu ya Fulham imeonesha nia ya kumsajili mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 23.
Arsenal wana mpango wa kuwapa 'thank you' wachezaji kadhaa ili wapate pesa za kuongezea kwenye kibubu chao kwa ajili ya usajili.