pmbet

Arsenal wanataka kusajili mshambuliaji kabla ya kuanza kwa msimu mpya

Eric Buyanza

May 21, 2024
Share :

Klabu ya Arsenal inataka kusajili mshambuliaji kabla ya ziara yao ya kujiandaa na msimu mpya.
 

Nyota wa Newcastle United, Alexander Isak na mshambuliaji wa Ajax na Uholanzi, Brian Brobbey, wametajwa kwenye orodha hiyo.
 

Mikel Arteta tayari ameanza mikakati kwa ajili ya msimu ujao, na anataka kuleta wachezaji watatu wa kikosi cha kwanza huku akiondosha wengine watatu au wanne.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet