Arsenal wapewa Bayern, City wapewa Madrid robo fainali Uefa
Sisti Herman
March 15, 2024
Share :
Droo ya hatua ya robo fainali ya ligi ya mabingwa Ulaya imekamilika leo mchana ambapo michezo ya hatua hiyo itakuwa hivi;
Arsena vs Bayern Munich
Real Madrid vs Man City
Atletico Madrid vs Borrusia Dortmund
PSG vs Barcelona
Je mechi ipi inasisimua zaidi?