Arsenal watalazimika kutoa Pauni Milioni 50 kumsajili Mbrazil wa Villa
Eric Buyanza
June 10, 2024
Share :
Michezo The Gunners wanataka kuboresha kikosi chao kuelekea msimu ujao na hivyo kumuweka kwenye list yao kiungo wa kati wa Brazil, Douglas Luiz.
Kwa mujibu wa gazeti la The Mirror, Arsenal watalazimika kulipa pauni milioni 50 ili kumsajili mchezaji huyo kutoka Aston Villa mwenye umri wa miaka 26.