Arsenal yaangusha alama 2 dhidi ya Brentford.
Joyce Shedrack
February 13, 2026
Share :
Mchezo wa ligi kuu ya Uingereza kati ya Brentford na Arsenal umemalizika kwa vinara hao wa ligi kudondosha pointi mbili kufuatia sare ya 1-1 katika dimba la Brentford Community.
Washika Mitutu sasa wapo pointi nne tu mbele ya Manchester City wakifikisha alama 57 baada ya mechi 26 wakati Man City ikiwa nafasi ya pili alama 53 baada ya mechi 26.





