Arsenal yamvizia kinda wa Juventus mturuki Kenan Yildiz
Eric Buyanza
February 24, 2024
Share :
TETESI ZA SOKA
Soka Arsenal inaonesha kuvutiwa na mshambuliaji kinda wa Juventus Kenan Yildiz mwenye umri wa miaka 18.
Hata hivyo mchezaji huyo wa kimataifa wa Uturuki pia yuko kwenye rada za Liverpool pamoja na Borussia Dortmund.