pmbet

Arsenal yathibitisha Mika kuelekea Sk Sturm Graz

Eric Buyanza

January 20, 2024
Share :

Arsenal siku ya Ijumaa ilithibitisha kwamba Mika Biereth ameondoka katika klabu hiyo na kujiunga na timu ya Austria Bundesliga, SK Sturm Graz kwa muda uliosalia wa msimu.
 

Haya yanajiri baada ya Biereth kurejea kutoka kwa muda wake wa mkopo katika klabu ya Ligi Kuu ya Scotland, Motherwell.
 

Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 20 alicheza mechi 15 akiwa na Motherwell, akifunga mabao sita, na kutoa asisti tano.
 

"Tunamtakia Mika kila la heri kwa kipindi chake cha mkopo SK Sturm Graz na tunatazamia kuona maendeleo yake," taarifa ya Arsenal ilisema.
 

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet