pmbet

Arusha Jiji kujenga uwanja wa kisasa wenye uwezo wa kubeba mashabiki 10,0000.

Joyce Shedrack

June 18, 2025
Share :

Halmashauri ya Jiji la Arusha chini ya Mkurugenzi wake John Kayombo imeingia mkataba na Kampuni ya Ujenzi ya SC CONSTRUCTION COMPANY ili kujenga uwanja uwanja mpya wa kisasa wenye uwezo wa kubeba watu 8,000 -10,000 wakiwa wameketi.

Siku ya Jana ilifanyika hafla ya kutia saini kwa mkataba wa ujenzi ulioshuhudiwa na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Makonda, Wakuu wa Wilaya ya Arusha na Longido pamoja na wadau wa michezo wakiongozwa na Rais wa TFF Wallace Karia na Mwandishi nguli  wa habari Jemedari Bin Kazumari.

 

Uwanja huo utajengwa eneo la Bondeni City na utakamalika kabla ya michuano ya AFCON mwaka 2027.
 



 

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet