pmbet

AS FAR yaikalia kooni CAF kisa refa wa Fainali ya CAFCL wamkataa rasmi.

Joyce Shedrack

May 4, 2026
Share :

Klabu ya AS FAR Rabat ya Morocco imeiandikia rasmi Shirikisho la soka Afrika CAF barua wakieleza wasiwasi wao kuhusu uteuzi wa mwamuzi Jean-Jacques Ndala kuwa mwamuzi wa mechi ya kwanza ya fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika itakayochezwa Pretoria tarehe 17 Mei.

Expert opinion: why was Jean-Jacques Ndala left out of the 2026 World Cup?  - Foot Africa

AS FAR wameambatanisha kumbukumbu za utata uliotokea kwenye Fainali ya AFCON kati ya Morocco na Senegal ambapo Ndala alishindwa kuwaonya wachezaji wa Senegal waliokuwa wameagizwa kutoka uwanjani na kocha wao.

 

Timu hiyo ambayo inatarajia kucheza fainali na Mamelodi Sundowns imeomba mabadiliko ya haraka na hawataki Ndala aendeshe mechi hiyo

 na pia wameeleza wasiwasi wao kuhusu kutokuwepo kwake kwenye orodha ya waamuzi iliyochaguliwa na FIFA kwa ajili ya Kombe la Dunia.

 

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet