pmbet

"Asanteni sana Serengeti boys kwa mapambano yenu"-Simon Msuva.

Joyce Shedrack

June 4, 2026
Share :

Mshambualiaji wa timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars Simon Msuva, ameipongeza timu ya taifa ya vijana chini yaumri miaka 17 Serengeti Boys kwa kufanya vizuri kwenye michuano ya AFCON U17 iliyofanyika Nchini Morocco.

Tanzania's victory over Ethiopia sets up tense qualification finale

Kupitia ukurasa wake wa Instagram Msuva ameandika ujumbe wa kuwapongeza nyota hao siku chache baada ya vijana hao kupoteza mchezo wa fainali ya kihistoria ya AFCON U-17 kwa mikwaju ya penalti dhidi ya Senegal.

​Mshambuliaji huyo wa Kitanzania alitumia picha ya pamoja ya kikosi hicho kilichopambana kiume nchini Morocco na kusindikiza na maneno yafuatayo yaliyosheheni faraja kubwa: ​"Asanteni @serengetiboystz kwa mapambano yenu mliotuonesha hii ni hatua kubwa sana kwa taifa letu la Tanzania 🇹🇿❤️🙌🏿🙏🏾"
 

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet