Ashikilia rekodi ya dunia kwa kupiga Push-ups 10,507
Eric Buyanza
February 16, 2024
Share :
JE WAJUA
Rekodi ya dunia ya kupiga push-ups nyingi zaidi inashikiliwa Minoru Yoshida wa Japan.
Minoru anashikilia rekodi hiyo kwa kupiga push-ups 10,507 bila kupumzika.
Rekodi hiyo aliiweka Oktoba mwaka 1980, na kuvunja rekodi ya push-ups 7,650 ya Henry C. Marshal wa Marekani iliyowekwa mwaka 1977.