Ashiriki kwa siri shindano la watu wanaofanana nae, akawa wa 3
Eric Buyanza
May 31, 2024
Share :
Mwaka 1920 mfanya vichekesho vya kimya maarufu, Charlie Chaplin aliandaa shindano la kumpata mtu anayefanana nae.
Baada ya watu wengi kujitokeza kwenye shindano hilo, Chaplin Original kwa siri akajichomeka kwenye kundi hilo na yeye kama mshindani.
Huwezi kuamini kwenye matokeo, yeye mwenyewe (original) aliibuka nafasi ya tatu.