pmbet

Aslay sasa kugeukia Bongo Movie

Eric Buyanza

June 7, 2024
Share :

Kasi ya wasanii wa muziki Tanzania kujaribu kujiongeza hadi upande wa filamu na tamthilia inaongezeka kila iitwapo leo.

Tumewaona wengi wakifanya hivyo kwa mfano Barnaba, Mimi Mars, Lulu Diva, Quick Racka bila kumsahau Khadija Kopa na wote wameonesha kufanya vizuri upande huo na kujizolea lundo la mashabiki.

Idadi yao huenda ikapata ingizo jipya hivi karibuni, kwani msanii Aslay Isihaka kupitia ukurasa wake wa instagram amewauliza mashabiki wake swali hilii.... "Mtu wa maana kabisa mnataka kuniona kwenye tamthilia gani?"

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet