pmbet

Atengeneza Toroli yenye kasi zaidi duniani, asema wazo lilimjia akiwa Bar

Eric Buyanza

June 15, 2024
Share :

Dylan Phillips, fundi wa magari kutoka Pembrokeshire nchini Uingereza, hivi majuzi ameweka rekodi mpya kwa kutengeneza toroli yenye kasi zaidi duniani inayokimbia mwendo wa Kilimomita 84 kwa saa (84 km/h).

Phillips anasema wazo la kutengeneza toroli hili lenye kasi lilikuja kwenye baa wakati akipata kinywaji na baadae kuamua kulifanyia kazi. 

Kwa mujibu wa Phillips kasi ya toroli hili unaweza kuichukulia poa ukilinganisha na gari, lakini kwa toroli ni kasi kubwa mno na hatari sana.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet