pmbet

Atumia zaidi ya milioni 500 kugeuza sura ili afanane na chui

Eric Buyanza

April 18, 2026
Share :

Mwanamume mmoja amekuwa gumzo kwenye mitandao ya kijamii baada ya kutumia zaidi dola 200,000 (zaidi ya shilingi milioni 500 za kitanzania) kufanya upasuaji na kurekebisha sura yake ili afanane na mnyama aina ya Chui.

 

Ukiachilia mbali kugeuza sura, pia jamaa huyo amechora usoni Tatoo za mnyama huyo na kupandikiza meno makubwa ili analomaanisha liweze kuleta uhalisia.

 

Jambo hillo limeshtua wengi huku kila mmoja akijiuliza maswali yasiyokuwa na majibu ya kwamba iweje binadamu mwenye akili timamu anaweza kufikiria kufanya jambo kama hilo.

 

Wahenga wanasema tembea uyaone!

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet