pmbet

Atupwa jela miaka 2 kwa kuikosoa Urusi kuhusu vita vya Ukraine

Eric Buyanza

February 28, 2024
Share :

Mwanaharakati mashuhuri wa kupigania haki za binaadamu nchini Urusi Oleg Orlov amehukumiwa kifungo cha miaka miwili na nusu jela, kwa kukosoa uvamizi wa Urusi nchini Ukraine.
 

Mwanaharakati mashuhuri wa kupigania haki za binaadamu nchini Urusi Oleg Orlov amehukumiwa kifungo cha miaka miwili na nusu jela, kwa kukosoa uvamizi wa Urusi nchini Ukraine. Mahakama moja ya mjini Moscow imemkuta na hatia Orlov mwenye umri wa miaka 70, kwa madai ya kulikosoa mara kwa mara jeshi la Urusi.
 

Mwaka 2022 Orlov alivipinga kwa uwazi vita vya Urusi nchini Ukraine kwa kuandika makala mbalimbali.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet