pmbet

Avumbua kifaa kinachochuja damu kwenye mishipa

Sisti Herman

August 31, 2025
Share :

 

Daktari wa Morocco Youssef El Azouzi ameunda kifaa kipya cha matibabu ambacho huchuja damu moja kwa moja kwenye mishipa kuondoa seli hatari za kinga mwilini.

Kimejaribiwa kwa mafanikio kwenye wanyama huko Marekani bila kuleta madhara yoyote.

Kifaa hiki kinaweza kuwasaidia watu wenye kinga dhaifu, maambukizo sugu, na kupunguza hatari ya mwili kupinga viini vya viumbe vinavyopandikizwa (organ transplant).

Kimefadhiliwa kwa faragha kwa kiasi cha dola 250,000, uvumbuzi huu bado ni wa majaribio lakini unaleta matumaini mapya kwa tiba za kisasa.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet