pmbet

Avunja rekodi ya dunia kwa kukumbatia miti 1,123 kwa saa moja

Eric Buyanza

April 27, 2024
Share :

Mwanaharakati wa mazingira wa Ghana na mwanafunzi wa Misitu mwenye umri wa miaka 29, Abubakar Tahiru, ameweka historia kwa kuvunja Rekodi ya Dunia ya Guinness (GWR) kwa kukumbatia miti 1,123 ndani ya saa moja pekee. 

Tukio hilo lilifanyika katika Msitu wa Kitaifa wa Tuskegee huko Alabama, Marekani, ambapo alikumbatia karibu miti 19 kwa dakika moja.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet