pmbet

Awalipa wachungaji 4, ili wamwombee marehemu mke wake 'Afufuke'

Eric Buyanza

May 27, 2024
Share :

Jamaa mmoja huko nchini Zambia aliyefahamika kwa jina la Geoffrey Shamilomo, amezua taharuki baada ya kupuuza ushauri wa madaktari wa kupeleka maiti ya mke wake kwenye chumba cha kuhifadhia maiti na badala yake akaipeleka nyumbani ambapo aliwaita wachungaji wanne kumuombea ili afufuke.

Kwa mujibu wa mume wa marehemu, aliamua kuurudisha nyumbani mwili wa marehemu mke wake baada ya kubaini kuwa bado una joto.

Inaelezwa kuwa marehemu Martha Mulobela (mke wa Geoffrey) alifariki akiwa usingizini.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet