pmbet

Awekwa ndani kisa kumuua mbwa

Sisti Herman

December 27, 2023
Share :

Mwanaume aliyefahamika kwa jina la Anthony Bellman mwenye umri wa miaka 55 kutoka nchini Marekani ameswekwa rumande kwa kujaribu kumuua mbwa.

Inaelezwa kuwa polisi walimfuma akifanya tukio hilo akiwa nje ya nyumba yake mjini Florida.

Hata hivyo kwa mujibu wa mashuhuda inadaiwa kuwa mwanaume huyo imekuwa kawaida yake kuwaua wanyama na kuwafunga kwenye mifuko kisha kuwatupa hali ambayo ni kinyume na sharia katika nchi hiyo.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet