pmbet

Awesu atolewa kwa mkopo kwa Police FC ya Kenya

Sisti Herman

January 11, 2026
Share :

 

Kiungo mshambuliaji wa Simba SC, Awesu Awesu ameripotiwa kutolewa kwa mkopo wa miezi 6 kwa timu ya Police Kenya FC, mabingwa watetezi wa ligi kuu ya Kenya.

 

Awesu Awesu anaondoka leo kuelekea Nairobi, Kenya kujiunga na timu yake mpya ya Police Kenya FC kwa mkopo wa miezi 6.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet