Awesu Awesu kutua Simba ni suala muda.
Joyce Shedrack
July 6, 2024
Share :
Huwenda klabu ya Simba ikakamilisha uhamisho wa kiungo Awesu Awesu kutoka KMC FC kuwa mchezaji wao ikiwa ni mwendelezo wa maboresho ya kikosi hicho kuelekea msimu wa 2024/25.
Taarifa zinasema nahodha huyo wa wakusanya ushuru wa Manispaa ya Kinondoni mwenye umri wa miaka 26 tayari ameshamalizana na wekundu wa msimbazi Simba.