pmbet

Ayoub apewa Mwaka mmoja Simba, Manula kusepa

Sisti Herman

July 8, 2024
Share :

Klabu ya Simba imethibitisha kumuongeza mkataba wa mwaka mmoja mlinda lango Ayoub Lakred raia wa Morocco kuendelea kuitumikia timu hiyo.

Ayoub ambaye amekuwa na kiwango bora akiwa na Simba kwenye msimu uliomalizika amekuwa chaguo la kwanza tangu kusajiliwa kwake akichukua nafasi ya kipa namba moja wa klabu hiyo na timu ya Taifa Tanzania Aishi Manula ambaye alipata majeraha.

Manula aliumia katikati ya msimu wa 2022/23 kabla ya kupona katikati ya msimu huu na kupata tena majeraha ambaye yameendelea kumuweka nje ya uwanja hadi msimu unatamatika.

Manula anatajwa kuwa kwenye hatua za mwisho kujiunga na klabu ya Azam huku A youb akendelea kushindania nafasi na kipa Mtazania Ally Salim.

Ayoub a

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet