pmbet

Ayoub ni msaidizi mzuri wa Manula - Jemedari

Sisti Herman

December 16, 2023
Share :

Mchambuzi maarufu wa michezo ambaye pia aliwahi kuwa mchezaji wa Kariakoo Lindi na kiongozi wa zamani wa Azam Fc na shirikisho la soka nchini Jemedari Said akiongea na PMTV amesema licha ya kipa wa Simba Ayoub Lakred raia wa Morocco kuwa kwenye kiwango bora siku za karibuni, bado Aishi Manula ni kipa namba moja wa timu hiyo licha ya kuwa nje ya uwanja kwa muda mrefu kwasababu ya majeraha.

 

“Manula bado ni kipa namba moja wa Simba, Larkred ni msaidizi mzuri kwasababu anampa ushindani wa namba, lakini bado Manula ni kipa namba moja” alisisitiza Jemedari wakati akitoa maoni yake baada ya ,mchezo kati ya Simba dhidi ya Kagera Sugar uliomalizika kwa Simba kuibuka na mgoli 3-0

 

Mahojiano haya kwa urefu zaidi yafuatilie kupitia mtandao wa Youtube wa PMTV

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet