pmbet

Ayra Starr ajiunga kwenye lebo ya Jay Z.

Joyce Shedrack

July 16, 2025
Share :

Mwanamuziki kutoka Nigeria Ayra Starr ameingia kwenye headlines baada ya kutambulishwa Rasmi kama member wa Kampuni kubwa ya Burudani ya Roc Nation ambayo ipo chini ya Mwanamuziki Nguli wa Hip-Hop Jay-Z.
Ayra Starr's "Rush" To The Top: The Afrobeats Singer On Numerology, The  Male Gaze & The Power Of Kelly Rowland | GRAMMY.com
Jina lake pamoja na picha yake inaonekana Rasmi kama mmoja wa wanamuziki wanaosimamiwa na Kampuni hiyo ya Roc Nation na hii ilianza kuonekana pia mwezi mmoja uliopita baada ya Lebo hiyo kumpongeza #AyraStarr kwa kushinda tuzo ya BET kama "Best International Act".

Kwa Ayra Starr hii siyo tu ishara ya ushindi wala sio mwanzo tu wa safari yake mpya Kimuziki Bali pia ni jambo kubwa na muhimu kwenye Muziki wa Afrobeats kuzidi kujulikana Kimataifa na yeye kujulikana kama Moja ya Mwanamuziki Mkubwa kutoka Afrika.
 

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet