pmbet

Azam, KMC zanza vyema ASFC

Sisti Herman

December 17, 2023
Share :

Azam FC na KMC yazifuata Ihefu, Dodoma Jiji, Namungo, JKT Tanzania, Geita Gold, Tabora United, Mashujaa,Coastal Uniona, Singida Fountain Gate zinazoshiriki Ligi Kuu kwenye hatua ya 32 bora Kombe la Shirikisho la Azam (ASFC).

Azam imeichapa Alliance FC ya Mwanza mabao2-1 katika uwanja wa Azam Complex na mabao yakifungwa na Alassane Diao 48’, James Akaminko 56’ huku bao la Alliance likifungwa na Eric Paul 90'.

KMC imefanikiwa kutinga katika hatua hiyo kwa mikwaju ya penalti ya 4-2 dhidi ya ACA Eagle baada ya mechi kumalizika kwa suluhu 0-0 uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam.

Matokeo ya leo mzunguko wa pili


Mbeya City 2-0 Afrcan Lyon
Copco 1-2 Mabao FC
Ruvu Shooting 0-1 Mkwajuni FC
TMA FC 7-2 Sharo Lion

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet