Azam na Simba hapatoshi leo kwa Mkapa
Sisti Herman
May 9, 2024
Share :
Klabu ya Azam watashuka dimba la Mkapa lepo jioni kuwakaribisha klabu ya Simba kwenye mchezo wa ligi kuu Tanzania bara, mchezo utakaochezwa kuanzia saa 12 jioni.
Timu hizo zingombania nafasi ya pili ambapo Azam waliopo nafasi ya pili kwenye msimamo wa ligi wakiwa na alama 57 baada ya michezo 25 watamenyana na Simba waliopo nafasi ya 3 wakiwa na alama 53 baada ya michezo 24.
Je unadhani nani atashinda?